Nehemiah 3:7

7 aKaribu nao ukarabati ulifanywa na watu kutoka Gibeoni na Mispa, yaani Melati Mgibeoni, na Yadoni Mmeronothi, sehemu hizi zikiwa chini ya mamlaka ya mtawala wa Ng’ambo ya Frati.
Copyright information for SwhKC